
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale #TeamWema kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utazana picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wamamane.
Katika kipindi chake cha InMyshoes Wema sepetu alisikika akimwambia kaka meneja wake kuwa anataka kuolewa bila ya kumtaja mchumba mwenyewe, kuvuja kwa Picha hii inaashiria kabisa huyu ndio moaji kwa sasa....!!!!
Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri, kwani wengi wamesema hii ni #CoupleFlanAmazing.
PICHA KATIKA MAPOZI TOFAUTI::


Tags
WATU MAARUFU