HomeHABARI ZA KITAIFA BREAKING NEWS:: MSANII WA MAIGIZO "MAMA MASHAKA" AFARIKI DUNIA byUnknown -12:53:00 PM 0 MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia. Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar. Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa. >> PAPARAZI BLOG Tags HABARI ZA KITAIFA Facebook Twitter