Unknown Unknown Author
Title: FAIZA ALLY KWENYE HEADLINES MTANDAONI ONCE AGAIN, JE KUNASHIDA KUVALIA KIVAZI HIKI...?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa mae...
Faiza Ally
Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya ufukweni mjini Bagamoyo.
Mbali na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi wamemshabulia kuwa..
mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na wa muacha afurahie maisha yake.
Faiza Ally
Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers” kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, lakini kwa hizi nadhani tumwache, amependeza sana.

Sijui wewe umezionaje!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top