Unknown Unknown Author
Title: WOLPER AWATIA MIDUME MAJARIBUNI KWA PICHA HIZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua m...
Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.
Jackline Masawe
Wolper ambae kwasaa anaonekana kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani, toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu akiwa mazoezini.

Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwa ni kweli anafanya mazoezi lakini lengo lake lingine ni kuonyesha watu tattoo zake alizojichora.
Jackline MasaweJionee mwenyewe picha hizo, kisha toa mtazamo wako wewe umezionaje?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top