Unknown Unknown Author
Title: MAPINDUZI CUP: SIMBA YAIKWEPA YANGA, LEO YANGA NA SHABA, AZAM v MTENDE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JANA kwenye Mashindano ya Mapinduzi Cup 2015 huko Visiwani Zanzibar Simba waliifunga JKU 1-0 na kufanikiwa kumaliza Mechi zao za Kundi C wa...
JANA kwenye Mashindano ya Mapinduzi Cup 2015 huko Visiwani Zanzibar Simba waliifunga JKU 1-0 na kufanikiwa kumaliza Mechi zao za Kundi C wakiwa Vinara.
mapinduzi cup
Msimamo huo umeifanya Simba kutinga Robo Fainali na watacheza na Mshindi wa Nafasi ya 3 Bora wa Pili kitu ambacho hakitegemewi kwa Yanga kumaliza nafasi hiyo kwani wanatarajiwa kumaliza Kundi A kama Washindi wa Kundi lao.

Bao la ushindi la Simba lilifungwa na Ramadhan Singano katika Dakika ya 12.

Hii Leo Makundi A na B yanacheza Mechi zao za mwisho.


WASHINDI WAWILI WA JUU KILA KUNDI WATATINGA ROBO FAINALI PAMOJA NA TIMU 2 ZITAKAZOMALIZA NAFASI 2 ZA JUU KAMA WASHINDI WA 3 WA MAKUNDI.

MSIMAMO:
KUNDI A
NAMBA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
YANGA
2
2
2
0
8
0
8
6
2
POLISI
2
2
1
1
1
3
-2
3
3
TAIFA
2
2
0
1
1
4
-3
3
4
SHABA
2
0
0
2
0
2
-2
0
KUNDI B
NAMBA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KCCA
2
1
1
0
5
2
3
4
2
AZAM
2
1
1
0
3
2
1
4
3
KMKM
2
0
1
1
0
1
-1
1
4
MTENDE
2
0
1
1
0
3
-3
1
KUNDI C
NAMBA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
SIMBA
3
2
0
1
2
1
1
6
2
MTIBWA
3
1
2
0
2
1
1
5
3
JKU
3
1
1
1
3
2
1
4
4
MAFUNZO
3
0
2
2
0
3
-3
2
RATIBA:: Jumatano Januari 7
Robo Fainali
Simba v Mshindi wa 3 Bora Na. 2
Mshindi wa Pili Kundi B v Mtibwa Sugar
Alhamisi Januari 8
Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A
Mshindi Kundi A v Mshindi wa 3 Bora Na. 1
Jumamosi Januari 10
Nusu Fainali
Mshindi RF 1 v Mshindi RF 2
Mshindi RF 3 v Mshindi RF 4
Jumanne Januari 13
Fainali

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top