Unknown Unknown Author
Title: WATU WASIOFAMIKA WAMEMVAMIA NA KUMUUWA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE WILAYANI MLELE-KATAVI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni tukio lisilo la kawaida na la kusikitisha sana lililotokea katika kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wasiofamika...
Lindiyetu blog news
Ni tukio lisilo la kawaida na la kusikitisha sana lililotokea katika kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wasiofamika wamemvamia na kumuuwa mwenyekiti wa kijiji hicho cha Songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kukatwa mkono wake mara mbili.

Baada ya kutenda unyama huo walichukua viungo walivyokata na kisha kuvitia kwenye sufuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika. 

Baada ya kufanya tukio hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika na Polisi wilayani mlele wanaendelea na uchunguzi ili kubaini wahusika wa tukio hilo.Tukio hilo limetokea usiku wa leo majira ya saa saba usiku.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top