
Sitti Abbas Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima (aliyekuwa mshindi wa pili) amrithi!
Sitti alikuwa anashutumiwa kwa kugushi vyeti na umri ili ashinde u-miss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu uzi Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu.

Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alimtetea kwamba hajagushi umri kwenye huu uzi Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote.
HII HAPA NDIO BARUA YAKE ALIYOIANDIKIA KAMATI YA MISS TANZANIA

Tags
HABARI ZA KITAIFA