Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWZZZZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO ABWAGA MANYANGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Nishati na Madini  Profesa Sospeter Muhongo  (pichani) Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa So...
Profesa Sospeter Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani)

Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kujiuzulu. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo.

Stay tuned for more....

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top