ALIYEFUMANIWA NA KUFANYIWA KITUMBAYA HAJAJIUA KAMA MITANDAO YA KIJAMII ILIVYORIPOTI, SOMA HAPA FULLSTORY

ajiua
Yule baba aliyelawitiwa bila kinga na jamaa wawili mwenye mke na rafiki baada yakufumaniwa juzi Mwananyamala Jijini Dar akiwa na mke wa jamaa guest...

Imeripotiwa na Baadhi ya Mitandao ya Kijamii kuwa amejiua kwa kwa fedheha yakufanyiwa unyambilisi huo na picha zake kuwa kwenye mitandao, 
Taarifa Tulizonazo za Uhakika kuwa Jamaa huyo Hajajiua na Yuko Mtaani kama Kawaida anakula Gambe kwa Kwenda Mbele ila watu waliomfanyia unyama huo ambaye ni mume wa mke ambaye alifumania amekamatwa na polisi na mwenzake anatafutwa...

Picha ni chafu sana kuweka hapa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post