LULU AFUNGUKA...!!! AWATAJA WATU WANAOWEZA KUMPA "PRESSURE"

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo wake wanapata ‘Lunch’ Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa, kama ikitokea mmoja kati ya wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kujali na atatafuta njia ya kushughurika nao.
Elizabeth Michael “Lulu”
“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest, I'll search 4 a Fck to give” Lulu aliandika.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post