
ANGALIA PICHA HABA CHINI::

Hiyo ni Mifuko inayotumiwa kuwekwa kwenye Kingo ilikuzuia Umomonyokaji wa Udongo kuendelea katika Ardhi hiyo iliyobaki M25 kufikia eneo la Kiwanda.

Wanajeshi wakiangalia Hali halisi ya Madhala yaliyotokea katika Kingo ya Pwani ya Eneo la Msimbati Mkoani Mtwara

Eneo la Pwani ya Msimbati KunakoChakatwa Gesi likionekana Kuharibika Vibaya kutokana na Mvua zinazoendelea Mkoani Humo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA