HIVI NDIVYO IRENE UWOYA ALIVYO NASWA AKIWA KIBANDA UMIZA AKIANGALIA MPIRA

Mrembo na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya leo wamewashangaza mashabiki wake wengi kwa kuonekana maeneo ya uswazi akiandika bango la mechi za mpira wa miguu zitakazo onyeshwa leo kwenye moja ya kibanda umuzi uswahili hapo.

Wengi wamempongeza kwa kijichanganya maeneo kama hayo kwani mastaa wengi wa hapa bongo japokuwa wengi wametokea uswazi lakini huwa hawapendi kijichanganya baada ya kupata majina au kuhama mitaa ya uswazi.


Kwa upande wangu hii imekaa poa sana kwani huko ndiko kuna mashabiki wao wengi wa kazi zao .wewe je kitendo hiki umekichukuliaje?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post