ANAEDAIWA KUWA MUUZA UNGA (MADAWA YA KULEVYA) AFANYIWA KITU MBAYA, ANYOFOLEWA NYETI ZAKE BAADA YA USALITI

"Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake..sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya. Tukisema wauza unga wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ukigeukwa hakuna cha mmesota wote wala nini unaumizwa, hamuelewi!"
"Haya sasa ndugu yetu amewadhurumu wenzake mzigo huko South Africa, wakamshtukia kwamba kaficha check walivyomfanyia unyama huu mpaka kuondoa uume wake. Inasikitisha sana, picha nyingine ni mbaya mno... na list ya wauzaji madawa inazidi kuongezeka huko SA mmejibana wengi, yatakayowapata mtajutia.. #SayNoToDrugs "

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post