Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO ADHA YA MAJI SAFI KATIKA MANISPAA YA LINDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha za wananchi/wanawake wa Mtaa wa Nachingwea uliopo katika Manispaa ya Lindi wakichota maji yanayotoka katika bomba la maji lililopa...
Uhaba wa maji Lindi
Picha za wananchi/wanawake wa Mtaa wa Nachingwea uliopo katika Manispaa ya Lindi wakichota maji yanayotoka katika bomba la maji lililopasuka ili kujinusuru na tatizo sugu la uhaba wa maji ya bomba katika maeneo hayo kwa miaka mingi licha ya kuwepo katika makao makuu ya Mkoa wa Lindi. 
Uhaba wa maji Lindi
Wanawake/wananchi hao walichota maji hayo yaliyokuwa yanatiririka ardhini bila kujali yalikuwa safi na salama kwa matumizi ya binadamu ama sio salama wala safi.
Uhaba wa maji Lindi
Tukio hilo ni jioni ya tarehe 03/01/2015 kama mwanaharakati alivyojionea hali hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top