BREAKING NEWS: WANANCHI WACHOMA OFISI YA MTENDAJI WA KIJIJI MTUA - NACHINGWEA
byUnknown-
0
Wananchi wenye hasira wavamia ofisi ya Mtendaji wa kijiji cha Mtua Wilayani Nachingwea mkoani Lindi wataka kuwaua watuhumiwa walioko mahabusu na sasa wamechoma moto ofisi hiyo.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...