Unknown Unknown Author
Title: JE KWA POST HIZI NI DHAHIRI LILE BEEF LA DIAMOND PLATNUMZ NA DAVIDO LIMEKWISHA?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia Moja ya akaunti yake katika Mitandao ya Kijamii Diamond Platnumz ameweza Kupost Cover ya Nyimbo mpya ya Davido inayotarajiwa kut...
Nyimbo mpya ya Davido
Kupitia Moja ya akaunti yake katika Mitandao ya Kijamii Diamond Platnumz ameweza Kupost Cover ya Nyimbo mpya ya Davido inayotarajiwa kutoka hivi karibuni na Kuandika Ujumbe wa kuwataka watanzania na watu wote kwa ujumla kuweza kumpa sapoti ya nguvu msanii DAVIDO a.k.a OBO kwa Mzigo huo Mpya. Hapo awali siku za Hivi karibuni Ililipotiwa kuwa Marafiki hawa wawili kwa sasa Hawaivi tena kwa sababu ya Vijimambo vya hapa na pale vilivyojitokeza.......
SASA HII IMEKUJA KUWASTUA WATU NA KUWAWEKA DILEMA.

Hii ndio Post yenyewe... 

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top