
Abiria wanaosafiri kutoka Nachingwea kwenda Dar kupitia masasi wakwama asubuhi hii kulikosababishwa na kukwama kwa Lori katika mpaka wa wilaya hizo eneo la (lukuledi) kutokana na matengenezo ya daraja na kulazimisha baadhi ya mabasi ikiwemo NAJMA kurudi na kupitia njia ya mzunguko hadi Ndanda kurudi Masasi..


Sehemu ya Daraja inayofanyiwa Matengenezo

likigeuza na kurudi kwa kushindwa kupita njia hiyo............
Tags
HABARI ZA KITAIFA