KAMA HUKUWAHI KUSHUHUDIA VURUGU ZILIZOTOKEA KATIKA MAANDAMANO YA CHAMA CHA C.U.F NIMEKUWEKEA VIDEO HII MTU WANGU WA NGUVU

Vurugu za Mbagala
Hii ni Video ya kichapo kizito toka kwa Polisi walichopewa wanachama wa CUF wakati wa maandamano yalioyoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.
-----------------
Peace cannot be kept by force; it can only be achieved by understanding.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post