Unknown Unknown Author
Title: ANGALIA PICHA ZA MAFURIKO YALIYOTOKEA HUKO MWANZA LEO HII, BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Daraja likifurika maji baada ya mvua kubwa kunyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza. Watu wakivuka kwa tabu katika daraja hilo. Mk...

Mafiriko Mwanza
Daraja likifurika maji baada ya mvua kubwa kunyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza.
Mafiriko Mwanza
Watu wakivuka kwa tabu katika daraja hilo.
Mafiriko Mwanza
Mkazi wa jiji la Mwanza akivuka pamoja na daraja hilo kujaa maji.
Mafiriko Mwanza

Mafiriko Mwanza
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea.
Mafiriko Mwanza
Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.
Mafiriko Mwanza
Vitu vikitolewa nje baada ya maji kuzingira nyumba za wakazi wa jiji hilo.


Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani.

Baadhi ya wakazi wa jiji hilo hawana sehemu za kukaa baada ya maji kuingia kwenye nyumba zao na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.
>>GP

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top