Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ambaye kwa sasa yupo kwenye kinyang’anyiro cha Miss World nchini Uingereza, amewatumia ujumbe Watanzania jinsi anavyoendelea na mashindapo pamoja njia za kumfanya aibuke kidedea na taji hilo.
Pia ameaitumia ujumbe Bongo5 akisema: Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono. Hadi sasa tunafanya vizuri Miss World. Tunaweza kufanya vizuri zaidi.”