VIDEO:: CRISTIANO RONALDO AKIZINDUA SANAMU YAKE YA HESHIMA HUKO MEDEIRA URENO

Cristiano Ronaldo
Nabii huyu hakubaliki kwao tu, Dunia nzima inamkubali na inampa heshima kubwa kwenye soka.
Madeira ni kisiwa kizuri na kikubwa ukiwa Ureno, lakini stori ikufikie kwamba kisiwa hicho kina umaarufu wa vitu viwili tu vikubwa; kwanza ni mvinyo, cha pili ni Cristiano Ronaldo.
Wamefanya kitu kikubwa kumuenzi staa huyo wa soka, jumapili ya December 21 kumezinduliwa sanamu kubwa la mchezaji huyo katika kisiwa hicho.
Tukio zima la uzinduzi wa sanamu hiyo hili hapa katika video.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post