NINI KIM KARDASHIAN?! BEYONCE AMFUNIKA VIBAYA KATIKA HILI...SHUKA NAYO HAPA!

Beyonce
Beyonce ndiye msanii wa kike aliyetafutwa zaidi kwenye Google mwaka huu kwa upande wa Uingereza.

Muimbaji huyo amekuwa kwenye spotlight katika kipindi cha miezi 12 iliyopita kutokana na tetesi za kuyumba kwa ndoa yake na Jay Z. Kingine ni baada ya mrembo huyo kutoa album ya surprise na ziara yake na mumewe ya ‘On The Run’

Hii ni orodha nzima:
Mastaa wa kike waliotafutwa zaidi kwenye Google:1) Beyonce2) Jennifer Lawrence3) Katy Perry4) Ariana Grande5) Taylor Swift

Mastaa wa kiume waliotafutwa zaidi kwenye Google:1) Ed Sheeran2) Jay Z3) Harry Styles4) Benedict Cumberbatch5) David Beckham

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post