Unknown Unknown Author
Title: #SIMANZI, AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa zilizotufikia muda wa saa Saba kamili December 17 ni kuhusu kifo cha aliyekua Mnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed aka ‘Ai...
aisha madinda
Taarifa zilizotufikia muda wa saa Saba kamili December 17 ni kuhusu kifo cha aliyekua Mnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed aka ‘Aisha Madinda’ . Sababu za kifo zinafuatiliwa na tutakuletea habari kamili pindi tutakapozipata.

Mkurugenzi wa Twanga Peteta ‘Asha Baraka’ anasema "Tayari wasanii wa twanga pepeta wakiongozwa na ‘Luiza Mbutu’ wameenda kutambua mwili hospitali ya mwananyamala na wamekuta ni Aisha, Taarifa kutoka Nyumbani kwake zinasema jana Aisha alikuwa mzima wa afya na hakuwa na tatizo lolote, tunaendelea kufuatilia”.
aisha madinda
Aisha alifika hospitali ya Mwananyamala akiwa tayari ameshafariki.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top