MAPUNGUFU YA VIDEO YA MWANA YA ALI KIBA HAYA HAPA.... #YANGUYAMOYONI

Msanii mwenye Jina kubwa hapa bongo Ally Kiba Mnamo tarehe 19.12.2014 alitambulisha video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.
Kitu kikubwa ni kukosekana kwa story board ya wimbo wenyewe ambachi kitu hichi kinaweza kuifanya video hii kutamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili.

Kitu kingine ni mwenyewe Ali Kiba Mwanzo wa video hakuwa amechangamka kabisa ateleast at the last, ameonesha uchangamfu kidongo ni kama alikuwa hajiamini nini anafanya au inawezekana alikuwa na Tension ya Sesion hiyo ndio mana mwishoni akawa vizuri kidogo. Kiukweli hakuitendea haki.

JARIBIO DOGO TU::
Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.

Kwa wale ambao hamjanielewa, wewe Mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini. VIDEO IPO HAPA

KISHA...
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti. VIDEO IPO HAPA

JE, UMEGUNDUA NINACHOKIZUNGUMZIA?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post