WOLPER AVUNJA MWIKO WAKE WAKUTOVAA NGUO FUPI, CHEKI HAPA KWAMARA YA KWANZA AKIACHIA MAPAJA NJE NJE..!!

Jackline Masawe “Wolper”
Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe kichwanina huku akicheza na ka-"DOG" ..Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;
Jackline Masawe “Wolper”"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda kanisani au sokoni nawakati wote mmekua mkinisifia navaa nguo za heshima sasa mkitaka niiheshm paka beach mtakua mmetishaa saana wana ndugu mnaojua sheria humu insta so mnataka beach nivae kanic au komeni pita like utaki pita".
Jackline Masawe “Wolper”Mdau umeionaje hii!!!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post