Unknown Unknown Author
Title: LULU NA IDRIS WAHUSISHWA NA UFREEMASONS BAADA YA KUFANANA VITU HIVI.!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau y...
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Idris na lulu
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa yamejitokeza kuhusiana na mkufu huo ulioko kwenye shingo laini ya mrembo LULU.
  1. Swali kuu la kwanza? Je, LULU kanununua mkufu wenye alama hiyo ili ufanane na ule wa Idris aliyeshinda million 500? kama mpango yakinifu wa kujiweka karibu na ‘Millionea’ huyo?
  2. Swali kuu la pili? Lulu kajiunga FREEMASONS? Mbona mkufu wake huo una alama zao zile zaoo?
Tusaidie ndugu msomaji kwa maoni yako hapo chini…

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top