Unknown Unknown Author
Title: AMIR KHAN NA DEVON NGOMA DROO, WAPIMA UZITO TAYARI KWA PAMBANO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mambondia Amir Khan na Devon Alexander wamelingana uzito, Paundi 147 kila mmoja kuelekea pambano lao la uzito wa Welter usiku wa kuamkia ...
amir khan na Devon alexander
Mambondia Amir Khan na Devon Alexander wamelingana uzito, Paundi 147 kila mmoja kuelekea pambano lao la uzito wa Welter usiku wa kuamkia Kesho katika Ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani.

Lakini ni Kha aliyelazimika kujifua zaidi kukata uzito wa Paundi 10 ili kufikiwa kiwanga halisi kinachotakiwa katika kipengele cha Welter.

Muingereza Khan anatakiwa kushinda pambano hilo ili kuweka hai matumaini ya Kupigana na Floyd Maywether Jr

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top