Unknown Unknown Author
Title: NINI LIST YA DIAMOND, CHEKI HII YA KIM KARDASHIAN NI NINOUMER, WANAUME ZAIDI YA 20 WASHACHAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Super Staa Kim K ambaye kwa sasa ameolewa na rapper Kanye West ambaye wana mtoto mmoja, mitandao ya marekani imetoa list ya wanaume ambayo...
Super Staa Kim K ambaye kwa sasa ameolewa na rapper Kanye West ambaye wana mtoto mmoja, mitandao ya marekani imetoa list ya wanaume ambayo msanii huyu alishawahi kulala nao na kutoa penzi kwa wanaume wote kwa mujibu mitandao ya marekani Kanye west ni mwanaume wa ishirini na mbili kutembea na staa huyo Kim K 
Kim Kardashian
Hii ndio list ya wanaume wengine aliyowahi kuwa nao staa huyo ambapo alianza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi mwaka 1994.
  1. TJ Jackson (1994-1998)
  2. Damon Thomas ( 2000-2004)
  3. Julian St. Jox (2001)
  4. Ray J (2002-2003)
  5. Nick Lachey (2006)
  6. Nick Cannon (September 2006- January 2007)
  7. Reggie Bush (2006 hapa akiwa na mahausiano na Nick lakini bado alikuwa kaichepuka)
  8. Fonzworth Bentley (2006-February 2007)
  9. Evan Ross (May 2007)
  10. Christiano Ronaldo (April 2010)
  11. Shengo Deane (April 2010)
  12. Miles Austin (June 2010)
  13. Michael Copon (October 2010)
  14. Jon Mayer (October 2010)
  15. Gabriel Aubrey (November 2010)
  16. Kris Humphries (2010-2013)

Kanye West (2007 ndipo Kanye West akachukua mzigo) Unaambiwa list haikusihia hapo kuna watu kama rapper 50cent, The Game, Brett Lockett, Scot Storch ambao waliwahi kutembea na staa huyo na kuwapa utamu wanaume wote hao

Duuh sasa Kanye hapo kaoa msichana ama kaowa ........ na Je Kanye atakuwa wa mwisho?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top