TUTAENDELEA KUKUMBUKA MILELE MAREHEMU JAMES DANDU

H.Baba akiwa kwenye kaburi la James Dandu
H.BABA Akiwa katika Kaburi la James Dandu ambaye alikuwa ni mwanziki hapa Tanzania

Tutaendelea kukumbuka milele hasa kutokana na kipaji ulichokuwa nacho enzi za uhai wako !!!!!!! Miaka kazaa imepita tokea ututoke lakini  kazi zako za kimziki ulizoziacha bado zinaendelea kuwepo!!!!!!
James Dandu akiwa na Mkewe

Nakumbuka ilikuwa ni msiba mzito siku ulipotutoka baada ya kupata ajali ya gari Jijini Dar es salaam hali hiyo ilikatiza ndoto zako ulizokuwa nazo za kuendeleza mziki wa Tanzania kwa kiwango cha hali juu sana.
post

Mungu akupumzishe kwa amani 
JAMES DANDU

********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post