BRAND NEW VIDEO:: NAVY KENZO - I JUST WANNA LOVE U
byUnknown-
0
Producer Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo wameachia video ya wimbo wao mpya ‘I just Wanna Love You’. iliyoongozwa na Director Khalfani. Itazame hapa.
********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...