Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO ZAWADI YA BIRTHDAY ALIYOITOA DIAMOND PLATNUMZ KWA BABY WAKE WEMA SEPETU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo katika Kufurahia/Kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa Mlimbwende wa Tanzania wa Mwaka 2003 Wema Sepetu kufikisha Miaka Kadhaa tangu aza...
wema sepetu
Leo katika Kufurahia/Kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa Mlimbwende wa Tanzania wa Mwaka 2003 Wema Sepetu kufikisha Miaka Kadhaa tangu azaliwe, Mpenzi wake wa Sasa Msanii machachari Diamond Platnumz ameweza Kumpatia Zawadi ya Gari linaloonekana Hapo chini Pichani na Kuandika Ujumbe huu hapa:
zawadi ya birthday ya wema sepetu
"Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu sina uwezo huo mumy😟... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo....🎈🎉🎂🎂🎈"

********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top