
Ni miongoni mwa nyimbo kali zilizowahi kurekodiwa na mpaka leo haijasikika kwenye radio. Wimbo Vitamin Music wa Belle 9 aliofanya na Joh makini umetangazwa kutoka hivi karibuni, ulitengenezwa na Mona Gangster wa Classic Sound.Vitamin Music ni jina la Cd ya Belle 9 ambayo pia haijawahi kutoka.
********************************************
Tags
HABARI ZA WASANII