UPDATES AJALI YA GALI MTAMA:: ANGALIA PICHA YA GALI ILIYOUWA WATU NANE MTAMA LINDI

ajali mtama
Hapo jana Gari No. STL 1615 LAND ROVER 110 YA TASAF MASASI, iliyokuwa inatokea Viwanja vya nane nane mkoani Lindi kuelekea Masasi ikiendeshwa na Kesi Mwaijande (47yrs) ilipata ajali katika kijiji cha Mtama Lindi Vijijini, na kusababisha vifo vya watu nane na Majeruhi Tisa. Akizungumza na Lindiyetu.com Kamanda Mzinga amesema majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Nyangao kwa matibabu.
ajali mtama
Mkuu wa wilaya  Dr. Nassor Hamidi, Ametembelea Katika eneo la tukio kujionea hali halisi ya ajali hiyo na Hizi ni Baaadhi ya Picha za Ajali hiyo:
ajali mtama
ajali mtama

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post