ILIVYOTOKEA..NANENANE:: TIGO YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MAONESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Tigo yashinda nanenane
Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.
Tigo yashinda nanenane
Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha Cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa yaliyomalizika hivi karibuni mkoani
Lindi.
Tigo yashinda nanenane
Furaha iliyoje kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post