SHULE YA MSINGI STADIUM YAWAPOKEA WANAFUNZ KUTOKA SHULE YA KARUME MKOANI MTWARA ZIARA YA UJIRANI MWEMA

Wanafunzi wa shule ya Msingi Karume wilayani Newala Mkoani Mtwara wakiangalia samaki katika ziara yao ya Mafunzo.
Wanafunzi wa Shule ya msingi Karume wakiwa angalia samaki aina ya Kamba Kochi walipo kuwa katika ziara ya Mafunzo katika Mkoa wa Lindi. Wanafunzi hao pia waliweza kufanya mtihani wa ujirani mwema.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post