Unknown Unknown Author
Title: TIMU YA KATA YA MITANDI YAGARAGAZA TIMU YA KATA YA MIKUMBI GOLI 3 - 0
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Benchi la ufundi la Timu ya kata ya Mitandi iliyocheza na Timu ya Kata ya Mikumbi katika nusufainali ya kwanza ya RPC CUP LINDI. Ben...
timu ya mitandi
Benchi la ufundi la Timu ya kata ya Mitandi iliyocheza na Timu ya Kata ya Mikumbi katika nusufainali ya kwanza ya RPC CUP LINDI.
timu ya mikumbi
Benchi la ufundi la Timu ya Kata ya Mikumbi iliyocheza na Timu ya Kata ya Mitandi katika nusufainali ya kwanza ya RPC CUP LINDI.

Mashindano ya RPC CUP yamefikia hatua ya nusu fainal ambapo nusu fainali ya kwanza imechezwa leo hii ambapo timu za kata ya Mitandi iliweza kuifunga timu ya kata ya Mikumbi kwa jumla ya magoli mawili ambayo goli la kwanza limefungwa na mchezaji Peter Musa mnamo dakika ya 66 kipindi cha pili.
Iliwachukua dakika 9 Timu ya Mitandi kupata bao la pili kwa njia ya penalt mara baada ya mchezaji Yahaya Mkweche kuchezewa ndivyo sivyo na Baraka Marinda kuifungia Timu yake ya Mitandi goli la Pili
goli mitandi
Dakika ya 90 Yahaya Mkweche aliiandikia Timu yake ya Mitandi goli la ushindi na kuwawezesha kuingia fainali.
mshangiliaji
Nusu fainal ya pili itazikutanisha timu za kata ya Msinjahili na Mtanda B ambayo mechi hiyo itachezwa uwanja wa Ilulu hapo kesho.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top