SHOCKING NEWS: BUNGE LA KATIBA SASA MAHAKAMANI!

Wakati kamati zikiendelea kufanya kazi yake kwenye bunge la katiba Dodoma, bado kumekua na mvutano kuhusu bunge hilo kuendelea au kutoendelea kutokana na Wajumbe wa UKAWA kukosekana.
Bunge la Katiba

Wakati hayo yakiendelea kuna ripoti imetoka kwenye gazeti la Mtanzania, ikisema: bunge hilo sasa kuburuzwa Mahakamani na chama cha Wanasheria Tanganyika kikitaka Mahakama kuzuia vikao vya bunge hili kuendelea hadi muafaka wa taifa utakapopatikana ili kupata katiba bora kwa Wananchi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post