Unknown Unknown Author
Title: HALI YA MAJERUHI WA AJALI YA MTAMA ILIYOJERUHI WATU 9 YAENDELEA KUIMARIKA, WAZIRI MEMBE AENDA KUWAPA POLE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bwa Kessy Dereva wa Gari STL 1516 lililopata ajali na kusababisha vifo na majeruhi akiwa amelazwa katika hospitali ya Ndanda. Majeruhi w...
Majeruhi wa Ajali mtama
Bwa Kessy Dereva wa Gari STL 1516 lililopata ajali na kusababisha vifo na majeruhi akiwa amelazwa katika hospitali ya Ndanda. Majeruhi wote wa ajali hiyo wanaweza kuruhusiwa hii Leo kutokana na kuimarika kwa Afya zao isipokuwa mmoja tu ambaye ameatwa mguu.
Majeruhi wa Ajali mtama
Mkuu wa wilaya ya Lindi Dr. Hamid akimpa pole Mh. Maimuna Chiputa, Diwani wa Masasi alikuwepo katika gari lililopata ajali akiwa katika wodi ya hospitali ya Ndanda.
Majeruhi wa Ajali mtama
Waziri Membe Akimjulia hali na kumpa pole Ndugu Shabani Issa mmoja wa majeruhi na kumsababishia ulemavu baada ya kukatwa mguu akiwa katika wodi ya hospitali ya nyangao Lindi.
Majeruhi wa Ajali mtama
Waziri Membe na Nape wakiangalia eneo ilipotokea ajali
Majeruhi wa Ajali mtama


Majeruhi wa Ajali mtama
Waziri Membe wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, Mh Bernard Membe akimpa pole bwa Salum Saidi Mchora ambae amempoteza mtoto wake katika ajali hiyo.
Majeruhi wa Ajali mtama


Majeruhi wa Ajali mtama
Mkuu wa wilaya akimpa pole Mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni kijiji cha Mtama - Lindi na kumsababishia kukatwa Mguu.
Majeruhi wa Ajali mtama
Gari STL 1516 baada ya ajali na kusababisha vifo vya watu 8 na kujeruhi watu 9.
Majeruhi wa Ajali mtama
Mkuu wa wilaya ya Lindi, Dr. Nassoro Hamid akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa ajali iliyosababisha vifo vya watu 8 katika kiijiji cha Mtama, Lindi. Bi Mhagama (diwani) ambaye amelazwa katika hospitali ya Ndanda.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top