BALAAA!! UGONJWA HATARI DUNIANI WASEMEKANA KUINGIA JIJINI DAR, WAWILI WAKUTWA NAO

Ugonjwa Hatari wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini.Wagonjwa hao wamepelekwa katika kituo maalumu kwa ajili ya wagonjwa wa ugonjwa huo kilichopo Temeke jiji Dar es salaam.

Watu hao wawili walipatikana katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Baada ya Kuwasili kutoka sehemu tofauti , mmoja ni raia wa Benin na Mwingine ni Mtanzania.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post