Mkuu wa mkoa Ludovick Mwananzila atembelea majeruhi 21 waliolazwa Sokoine kufuatia ajali ya Basi la SB Lenye Namba za Usajili T 607 BDG lililokuwa likutoka Wilaya ya Nachingwea kwenda Jijini Dar es Salaam na Kupata ajali katika Kijiji cha Mchinga Mkoani Lindi.
Hizi ni Picha za Ajali hiyo na Matembezi ya Mkuu wa Mkoa katika Hospitali ya Sokoine.
KUTAZAMA VIDEO BOFYA HAPA
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.