RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAKATIZA MITAA YA PANGANI TANGA NA KUNUNUA NG'ONDA, CHEKI VIDEO

JAKAYA KIKWETE
Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete waliwashangaza wakazi wa wilaya ya Pangani,Tanga july 11 walipo tembelea mitaa hiyo na kununua samaki wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari Kipumbwi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post