TAZAMA VIDEO TEASER YA WIMBO MPYA WA LINAH "OLE THEMBA " AMESHOOT NA DIRECTOR GODFATHER - SOUTHAFRICA

Baada ya Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na wasanii wengine wachache wa Tanzania kuanza kutafuta upenyo wa kulikamata soko la kimataifa, msanii wa kike Linah Sanga naye ameongezeka kwenye orodha hiyo.
linah ole themba

Hivi karibuni Linah alikuwa nchini Afrika Kusini ambako alifanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maprodyuza wa huko akiwa chini ya usimamizi wake mpya.

Licha ya kurekodi nyimbo Linah pia alishoot video na director GodFather aliyeongoza video ya Diamond ‘Mdogo mdogo’. Tazama teaser ya video ya wimbo wake mpya ‘Ole Themba’ inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post