RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

jk afuturisha mbeya
Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
jk afuturisha mbeya
Waziri wa Nchi Katika Ofisi ys Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark Mwandosya, na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” wakiungana na wananchi katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014. 
PICHA NA IKULU.

1 Comments

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post