Unknown Unknown Author
Title: FIFA YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Orodha kamili: Kiungo wa timu ya taifa ya Argentina, Ángel Fabián Di María Hernández. Beki wa timu ya taifa ya Ujerumani, Marc  Hum...
fifa world cup brasil
Orodha kamili:
fifa top 10 players
Kiungo wa timu ya taifa ya Argentina, Ángel Fabián Di María Hernández.
fifa top 10 players
Beki wa timu ya taifa ya Ujerumani, Marc Hummers 
fifa top 10 players
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi.
fifa top 10 players
Kiungo wa timu ya Ujerumani, Toni Kroos.
fifa top 10 players
Beki na Kiungo mkabaji wa timu ya Ujerumani, Philipp Lahm.
fifa top 10 players
Kiungo wa timu ya Argentina, Javier Mascherano.
fifa top 10 players
Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ujerumani, Thomas Muller.
fifa top 10 players
Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar.
fifa top 10 players
Mshambuliaji wa timu ya Uholanzi, Arjen Robben.
fifa top 10 players
Mshambuliaji wa Colombia, James Rodriguez.


Haya ni majina ya washindi wa tuzo hiyo katika mashindano ya Kombe la FIFA la dunia miaka iliyopita:
1982 FIFA World Cup Spain: Paolo Rossi (Italy)
1986 FIFA World Cup Mexico: Diego Maradona (Argentina)
1990 FIFA World Cup Italy: Salvatore Schillaci (Italy)
1994 FIFA World Cup USA: Romario (Brazil)
1998 FIFA World Cup France: Ronaldo (Brazil)
2002 FIFA World Cup Korea/Japan: Oliver Kahn (Germany)
2006 FIFA World Cup Germany: Zinedine Zidane (France)
2010 FIFA World Cup South Africa: Diego Forlan (Uruguay)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top