Msanii wa maigizo Elizabeth Michael maarufu kama Lulu, jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye Futari iliyo andaliwa na msanii huyo.. Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali mbali.
Home
»
HABARI ZA WASANII
» ELIZABETH MICHAEL "LULU" AFUTURISHA WATOTO YATIMA - CHAKUWAMA SINZA DAR ES SALAAM, ANGALIA PICHA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.