BREAKING NYUUUZZZ..!! AJALI TENA SHINYANGA, LORI LILILOBEBA ABIRIA NA MIZIGO LAPINDUKA KATIKA ENEO LA UCHUNGA


Lindiyetu logo news
Habari iliyotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari ni kwamba lori lililokuwa limebeba abiria na mizigo kwenda katika mnada wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga limepinduka katika eneo la Uchunga kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu.
Ajali hiyo imetokea asubuhi hii.
Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Hata hivyo bado hatujapata idadi ya majeruhi na hata watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo.

ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI..

KWA PICHA NA VICHEKESHO BOFYA HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post