
Basi la Kampuni ya SB lenye namba za usajiri T 607 BDG inayofanya safari zake za usafiri kutoka Dar Nachingwea leo Lapata ajali katika Kijiji cha Mchinga Mkoa wa Lindi na Watu 42 wamejeruhiwa, 21 kati yao wakiwa na hali mbaya. Basi hilo la SB lilikuwa linatokea Nachingwea kwenda Dar es salaam.


Tags
HABARI ZA KITAIFA