Basi la Kampuni ya Princess Muro Jana Limeteketea kwa Moto mjini Iringa, hajatambulika kama lilisababisha maafa, Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...