Unknown Unknown Author
Title: RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu S...
Msiba wa Mzee small
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Msiba wa Mzee small

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”.
Msiba wa Mzee small

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Msiba wa Mzee small

Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014
Msiba wa Mzee small

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 .
Msiba wa Mzee small
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014

PICHA NA IKULU

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top