ANGALIA VIDEO MPYA YENYE KIWANGO CHA HALI YA JUU KUTOKA KWA GAZUKO - ACHA KULIA
byUnknown-
0
Gazuko ni Msanii wa Muziki wa Injili anayekuja Kwa kasi katika anga hizi za muziki wa Injili Baada ya kutoa Audio ya wimbo wake wa Acha kulia nakufanya vizuri, Siku Kadhaa zilizopita sasa Ameachia Bonge la Video Iangalie hapa Chini.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...